MyTUNEiN Online TV And Internet Radio Directory

Divine Radio 93.3 FM

Listen to Divine Radio 93.3 FM LiVE from Kahama, Tanzania, Africa on the best platform for the best radio stations and listeners, MyTUNEiN radio directory, for free.

Buffering ...

Karibu Kwenye Radio Yako Ya Kikristo. Radio Divine FM ni Radio bora zaidi nionavyo mimi ktk kujenga jamii iliyo bora, na yenye kumtukuza MUNGU aliye hai. Ni zawadi toka mbinguni. Yeyote aweza kuisikiliza, tena inapendeza sana mkiisikiliza pamoja ktk familia, kikundi na kadhalika. Mungu mbariki sana mbebeshwaji maono, Jovin Remigius Mwemezi.

LOCATION: Kahama, Tanzania, Africa.

PHONE: 255754305957 | WEBSITE

 

WATCH LiVE TV 📺